Jan2024
Nafasi za masomo kwa Wanafunzi wa Kidato cha I & III kwa mwaka 2024 zinapatikana.
Pia zipo nafasi za kidato cha Tano kwa michepuo ya CBG,EGM, HGE, HGK, HKL & HGL.
WAHI NAFASI NI CHACHE.
Jan2024
shule pia inazo nafasi kwaajili ya Watahiniwa Binafsi kwa Kidato cha NNE na SITA.
Usajili wa Watahiniwa Binafsi kidato cha nne 2024 unaendelea.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Uongozi wa Shule.
Shule inafanya vizuri kitaifa, kimkoa na hata Wilaya.
Bonyeza hapo chini kuangalia matokeo ya kidato cha IV na VI 2023 .
Kwa malezi bora ya kimwili na Kiroho, mlete mwanao IKIZU HIGH SCHOOL
Copyright ikizu High School IT Dep© All rights reserved.